×

Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu

Prof. William Anangisye.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Prof. William Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
09 Agosti, 2017

Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Kwasababu Hizi Hapa

1 Comment

Leave a Comment