The House of Favourite Newspapers

Odama: Kufanya Bethidei Za Mbwembwe Ni Utoto

0
Staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’.

STAA wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa hakuweza kufanya sherehe kubwa kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa sababu anaona kufanya hivyo ni kama utoto.

Akizungumza na Amani, Odama alisema ameamua kutofanya kitu kubwa mpaka atakapokuwa mzee, itakuwa na maana kubwa kuliko kufanya kila mwaka.

“Huwezi amini yaani hata kama zamani nilikuwa nafanya hivyo basi nilikuwa bado akili yangu haijachangamaa kabisa lakini mambo ya sherehe kubwa nitafanya nikiwa mzee kwa sasa tena hapana,” alisema Odama ambaye bethidei yake ni Agosti 26.

STORI: IMELDA MTEMA | AMANI| GLOBAL PUBLISHERS

Alikiba Vs Diamond Wazidi Kuwagawa Wabunge Dodoma

Leave A Reply