
WIKIENDI nyingine imewadia, michezo mbalimbali hasa soka itakuwa ikiendelea kwenye viwanja tofauti.
Ndani ya tovuti ya www. sokabet.co.tz ambayo inamilikiwa na kampuni ya kubashiri matokeo ya Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet, kuna michezo mingi ya kubashiri (kubet) ambayo ukipatia matokeo ujue utapata fedha ndani ya muda mfupi.
Kumbuka kuwa utakapobet mtandaoni, ukipatia matokeo ya mchezo wowote wa soka, jua kuwa utapata fedha zako ndani ya muda mfupi na unaweza kuitoa muda wowote unaotaka.
KIWANGO CHA KUINGIZA NA KUTOA
Kuingiza fedha kwenye akaunti yako, inaanzia shilingi 1,000 tu lakini ukishaweka unaweza kuanza kubet kwa Sh 200, pia kumbuka kiwango cha chini ya kutoa fedha kwenye akaunti yako ni Sh 2,000.

WAHUDUMU WAPO MUDA WOTE
Ukifungua tovuti ya www. sokabet.co.tz kulia kwako utaona pameandikwa ONLINE, hicho ni kipengele cha kukusaidia kuuliza chochote ambacho unahisi haujaelewa, hapo utajibiwa na mhudumu moja kwa moja.
JIANDIKISHE & ANZA KUBET
Ndani ya tovuti bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umeshafungua akaunti yako.
INGIA KWENYE AKAUNTI
Ukimaliza kujiandikisha rejea sehemu ya ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu na ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umefungua akaunti yako. Ukirejea baadaye kufungua tovuti, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba ya simu kisha namba ya siri.
INGIZA FEDHA
Kwa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’.
Baada ya hapo ingiza kiasi
unachotaka mfano Sh 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.
Kwa Tigopesa, bonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.
Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Sokabet’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.
- BET KWA SH 200 TU
Ukimaliza kuingiza fedha kwenye akaunti yako ya Sokabet, utakuwa tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri, kiwango cha chini kabisa ni shilingi 200 (mia mbili tu). Ukitatizika kwa chochote wasiliana na huduma kwa wateja kwa namba 0654-705 555.
SOKABET JACKPOT INAKUPA SH 100M
Katika kipengele cha Sokabet Jackpot unaweza kushinda hadi shilingi milioni 100 ikiwa utapatia matokeo ya michezo 13 tu huku wewe ukiweka Sh 1,000 (buku tu).
JACKPOT YA WIKI HII SHINDA 100,073,396
Dirisha la kubet katika Jackpot ya wiki hii linatarajiwa kufungwa Jumamosi ya Septemba 16, saa 8:00 mchana. Mshindi wa wiki hii atapata 100,073,396 (zaidi ya Sh milioni 100).
Kutakuwa na mechi 3 za ziada ambazo zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika, lakini zote zikichezwa bila tatizo, basi hazitaathiri zile 13 ambazo ndizo muhimu.
UKIKOSEA UNAWEZA PATA MILIONI 5
Ikitokea umekosea matokeo ya michezo kadhaa bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha. Watakaopatia matokeo ya mechi 12 watapata Sh 5,000,000, mechi 11 ni Sh 2,000,000, mechi 10 ni Sh 1,000,000 na mechi 9 watapata nafasi ya kushiriki bure katika Jackpot inayofuata.