×

Nyumba za Polisi Arusha Zateketea Kwa Moto

Habari ziliyonifikia kutoka Arusha usiku huu ni kuwa moto umezuka na kuteketeza nyumba za Polisi zilizopo Kata ya Sekei, Arusha, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.

Leave a Comment