The House of Favourite Newspapers

Zari Amnyima Usingizi Ester Kiama

0

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ester Kiama amesema kuwa, kila akimt azama Mwan amama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ a napolamba madili ya matangazo huwa anakosa usingizi kwa kujiuliza yeye anapataje na siyo Mbongo?

Ester aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, madili makubwa anayoyapata Zari yanatakiwa kuwafanya mastaa wa Bongo wajifunze na wajiulize maswali mengi ya kwa nini yeye tu na siyo wao!

“Kiukweli fursa anazopata Zari, kuna wakati mwingine zinanichanganya sana kwa sababu ninajiuliza mbona sisi hatuwezi?” alisema Ester.

Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

Majimaji yataja kinachowabania pointi ligi kuu

Leave A Reply