×

TFF Yaanika Viingilio Mechi ya Simba na Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya ya Watani wa Jadi (Yanga Vs Simba) itakayochezwa

Oktoba 28 2017, Viingilio hivyo vitakuwa kama ifuatavyo:-

Mzunguko ni 10,000
Jukwaa Kuu ni 20,000

Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

 

Leave a Comment