×

Wema Ampa Pole Lulu Kwa Kufungwa Miaka Miwili

Wema Sepetu

MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Wema Sepetu, kupitia akaunti yake ya Instagram ame-post ujumbe unaompa pole mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’, ambaye leo amehukumiwa na Mahakama Kuu kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumuua bila kukusudia aliyekuwa mwigizaji  mwenzake, Steven Kanumba.

Maneno aliyoyatuma ni haya chini:

 

  • wemasepetu  Dah… Speechless… 😔😔😔 Pole my baby… This too shall pass… 😔😔😔 Dah… 😔😔😔

 

Leave a Comment