×

Simba Waendelea Kujifua Jijini Mbeya Dhidi ya Prisons

Kikosi cha timu ya Simba kikiendelea na mazoezi uwanja wa JKT Itende, Mbeya.

MAZOEZI ya timu ya Simba  jana na leo yameendelea katiaka Uwanja wa wa JKT Itende, Mbeya, ambapo ratiba ya mazoezi hayo itaendelea tena kesho asubuhi ikijiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya timu ya Tanzania Prisons Novemba 18 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Simba wakifanya mazoezi.
….Wakiendelea kufanya mazoezi.
…Wakikimbia.
Kichuya (mbele) akiwa na wenzake mazoezini.
Mazoezi yakiwa yamepamba moto.

(PICHA; MUSA MATEJA – MBEYA/GPL)

Leave a Comment