
MAZOEZI ya timu ya Simba jana na leo yameendelea katiaka Uwanja wa wa JKT Itende, Mbeya, ambapo ratiba ya mazoezi hayo itaendelea tena kesho asubuhi ikijiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya timu ya Tanzania Prisons Novemba 18 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.






(PICHA; MUSA MATEJA – MBEYA/GPL)