IKULU: Rais Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa ambaye amempongeza Rais kwa kazi nzuri anayoifanya.