The House of Favourite Newspapers

Barnaba Ft Aslay – NGOMA (Official Video)

Barnaba ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha msanii  Aslay ambaye amekuwa tishio kwa wanamuziki kwa kutoa nyimbo nyingi, kali na nzuri zinazotamba mtaa kwa mtaa.

Wimbo huo umechezwa katika mazingira ya kijijini huku mpendezesha video akiwa mwanadada maarufu Tunda.

 

Comments are closed.