
SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni, leo usikose kutazama wachambuzi wa kipindi hiki, watakuchambulia yafuatayo:-
-Watachambua mechi za Simba dhidi ya Kagera Sugar na Singida United.
-Watachambua mwenendo wa timu ya Yanga Ligi Kuu Bara.