×

MTENGENEZA KUCHA ANUSURIKA KUUAWA NA MUME WA AFANDE

KIJANA mmoja anayejulikana kwa majina ya Khamis Ally amejikuta akipitia wakati mgumu kutokana na aina ya kazi anayoifanya ya kupaka rangi za kucha kwa wanawake na kuwasugua magaga ambapo wateja wake wengi ni wake za watu.

 

Akipiga story na Global TV, Ally anasena baadhi ya matukio mazito aliokutana nayo kwa kuponzwa na baadhi ya wateja waliokuwa wanampeleka kwenye nyumba zao bila yeye kujua kuwa ni wake za watu jambo lililomsababishia kuchezea kipigo cha mme wa askari polisi baada ya kukutwa akimpaka kucha mkewe.

MTENGENEZA KUCHA ANUSURIKA KUUAWA NA MUME WA AFANDE