×

WATUMISHI OFISI WAZIRI MKUU WAPEWA MAFUNZO YA KUZIMA MOTO

Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Joseph Mboje akizima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto katika mafunzo ya kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini Dodoma Mei 12, 2018.

Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ruth Mwasakafyuka akizima moto katika mafunzo  ya kuzima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini  Dodoma Mei  12, 2018. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Mafunzo yakiendelea.

 

 

(Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)