×

LIVE: Nicki Minaj Akifanya Shoo Kwenye Tuzo za BET 2018

Onika Tanya Maraj ‘Nicki Minaj’  akiwa stejini.

STAA wa kike wa Muziki wa Hip Hop, Onika Tanya Maraj ‘Nicki Minaj’  amefanya shoo ya aina yake usiku wa tuzo za BET zinazoendelea muda huu  katika Ukumbi wa Microsoft jijini Los Angeles, California.