TUZO za BET 2018 (Black Entertainment Television – BET) zilifanyika usiku wa kuamkia Jumatatu nchini Tanzania kwenye Ukumbi wa Microsoft jijini Los Angeles ambapo nchini marekani itakuwa ni saa mbili usiku.
Wasanii walikaotumbuiza ni: Bruno Mars, alikayekuwa msanii wa kwanza kufungua shoo ambapo watakaofuatia ni Nicki Minaj, Migos, Meek Mill, Ella Mai, 2 Chainz, Big Sean, Miguel, Daniel Caesar, H.E.R., YG, Jay Rock Janelle Monae, Yolanda Adams and SiR.
Msanii wa R’n’B, Miguel akifanya shoo
Migos ni kundi la muziki toka nchini marekani linalo unganisha rappers watatu Offset, Quavo na Takeoff. Ambalo makazi yao yapo Lawrenceville, Georgia wakifanya shoo.