×

Mwarabu Fighter: Asingekuwa Mungu, Nisingekuwepo

BAADA ya kupata nafuu kutokana na aajli aliyopata mnamo June 22, 2018, Bodigadi wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter amesema kuwa kama si mipango ya Mungu basi angekuwa ameshafariki dunia kutokana na ajali hiyo.

 

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku ya leo maana kama sio mapenzi yake inawezekana kabisa leo hii nisinge kuwepo kutokana anajali mbaya sana nilio nusurika…🙏