Marais Dkt. John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Emerson Mnangagwa wa Zimbabwe jana walikutana jijini Dar es Salaam na kukubaliana masuala kadhaa kuimarisha uhusiano wa nchi zao.