×

Mastaa Walivyolizwa na Msiba wa Mtoto wa Muna

WASANII mbalimbali baada ya kifo cha mtoto aitwaye Patrick kupitia kurasa zao za Instagram wamepost ujumbe mbalimbali wa pole kwenda kwa mama wa mtoto msanii wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’.

Baadhi ya walichokisema wasanii

My God Rest Your innocent Soul in Peace🧖‍♂️

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Kazi ya Mungu aina makosa

A post shared by Hamisi Taletale (@babutale) on