×

SAMIA APOKELEWA KWA SHANGWE MBEYA

Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, akizungumza na wakazi wa mji wa Mbalizi (hawapo pichani) waliompokea alipowasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za  maendeleo mkoani humo. 
Wakazi wa Mbalizi waliojitokeza kumpokea  Samia.
Samia akisalimiana na wakazi wa Mbalizi.

( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)