×

Halima Mdee Amjibu Prof. Kabudi, ‘Avuruga Tena Bunge’ – Video

Mbunge wa Kawe (Chadema) Halima Mdee, amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kuchangia hoja katika katika mjadala unaohusu Sheria ambao ulitolewa ufafanuzi jana na Waziri mwenye dhamana ya Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.