×

JPM Aongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmshauri Kuu CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Dkt. John Magufuli akipiga makofi na wajumbe wengine kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Septemba 29, 2018.

 

Magufuli pamoja na wajumbe wengine wakiwa wamesimama kwa dakika moja ili kuwakumbuka na kuwaombea Majeruhi na waliopoteza maisha katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea Septemba 20, 2018 katika ziwa Victoria kabla ya kuanza kikao hicho.

 

Magufuli akiongoza kikao hicho.

 

Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mweyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ally Mohammed Shein mara baada ya kikao hicho.

 

Magufuli akizungumza jambo na Dkt. Shein.

 

Magufuli akizungumza jambo na Dkt. Shein.