The House of Favourite Newspapers

Baada ya Kipigo Lesotho, Taifa Stars Warejea Nchini


Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imewasili jioni ya leo Jumatatu, Novemba 19, 2018 ikitokea nchini Lesotho kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani #AFCON2019Q ambao ulimalizika jana kwa Tanzania kufungwa bao 1-0 na Lesotho.

Comments are closed.