×

Simba Wapigwa na Mashujaa 3-2, Watupwa Nje Kombe la Shirikisho

 

Kikosi cha timu ya Mashujaa FC kilichoanza leo dhidi ya Simba katika Uwanja wa Taifa na kuwatupa nje  Simba wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho
Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza leo dhidi ya Mashujaa FC.
…Mchezo ukiendelea
Wachezaji wa timu ya Simba wakiwa hoi baada ya mechi.

SIMBA  leo wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports katika mchezo wake wa kwanza kwa mwaka wa pili mfululizo na timu ya Mashujaa FC kutoka Kigoma katika Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.

Mabao ya Mashujaa Fc yalifungwa na Hamis dakika ya 47 kipindi cha kwanza, Jeremiah dakika ya 57 na Rajabu Athuman dakika ya 90 kipindi cha pili. Kwa upande wa simba mabao yamefungwa na  Paul Bukaba dakika ya 19 na 78.

PICHA; MUSA MATEJA | GPL