×

NGOMA NZITO! Makosa Matatu Ya CAG Bungeni Hachomoki! – VIDEO

SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kuripoti mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka, Januari 21, 2019, na asipofika atapelekwa akiwa amefungwa pingu na polisi.

Kufuatia wito huo Watu mbalimbali wametoa maoni yao juu ya Uamuzi huo wa Spika wa Bunge.

Diwani wa Kata ya Lyoma Iliyopo Kwimba mkoani mwanza ameunga mkono uamuzi wa Spika, Ambapo ametaja makosa makubwa matatu ambayo ameyaona kwa CAG.