Kila nyuma ya historia ya mtu maarufu au mashuhuri kuna stori kitu ambacho amekipitia, kwa upande wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Uncle B, yeye aliwahi kufukuzwa shule kwa sababu ya kuchora jina la Mr Blue kwenye ukuta wa shule.
Uncle B, alikuwa akichora jina la Mr Blue hadi kwenye madaftari na ilitokana na upendo wake na ushabiki mkubwa aliokuwa nao juu yake.