×

MAGUFULI Azindua Kiwanda cha Kuchakata Chai – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemaliza ziara ya kikazi ya siku 6 Mkoani Ruvuma, aanza ziara ya kikazi ya siku 3 Mkoani Njombe.