×

SPOTI XTRA YATUA UWANJA WA TAIFA MECHI YA STARS

Mashabiki wa timu ya Taifa wakiwa na vipeperushi vya gazeti la Spoti Xtra ambalo lipo mtaani leo

Timu ya masoko ya @globalpublishers tayari ipo Uwanja wa Taifa Dar, kwenye game ya Taifa Stars vs Kenya, ili kulinadi Gazeti bora la Michezo nchini la #SportXtra.

Zaidi ni kuendelea kugawa vipeperushi vya #SpotiXtra kwa mashabiki wa soka na wapenzi wa michezo nchini waliofika uwanjani hapo.

Pia, kuendelea kuwapa elimu mahsusi kuhusu uhondo wa kipekee uliomo kwenye Magazeti yetu yote, kila gazeti na siku linayokuwa sokoni namna ya kuyapata magazeti hayo.

Pichani ni Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake wakiwa wamefurahia kupata vipeperushi vya Spoti Xtra.

FURAHA ya mashabiki wa timu ya Taifa wakiwa na vipeperushi vya Gazeti la Spoti Xtra ambalo lipo mtaani leo