
Benki ya Akiba Commercial imekuja kivingine kwa kuanzisha huduma ya LIP ambayo mteja atatakiwa kuwa na akaunti ya malengo ambayo itamuwezesha kutimiza malengo yake kwa kununua shamba, kiwanja nyumba au kupata huduma yoyote baada ya kuweka pesa kwa akaunti hii ya malengo.
Katika akaunti unaweza kujiwekea malengo ya kuhidhi kiasi cha 20,000. Kila mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja hata mitano kutegemea na malengo ya muwekaji.
Matukio katika Picha:



