×

Mkurugenzi Tigo Akutana na Wateja Wiki ya Huduma

Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja (Tigo) Bi. Mwangaza Matotola (wa tatu kulia) akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano (Tigo),  Simon Karikari, na viongozi wa idara mbalimbali katika kituo cha kisasa cha huduma kwa wateja. Tukio hilo liliambatana na ukataji wa keki.

KEKI%2BMCITY
Karikari akimwongoza mteja katika duka la Tigo Mlimani City kukata keki ya kusherehekea wiki ya Huduma Kwa Wateja pamoja na kushiriki katika kutoa huduma kwa wateja. F28A9063
…Akijibu na kutatua maswali ya wateja.F28A9116
…Akiendelea kuwasiliana na wateja. ZAWADOI
…Akiwa katika  duka la Tigo Mlimani City jijini Dar es Salaam.