×

VIDEO: RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA MKOANI KATAVI

Rais Dkt John Magufuli leo Oktoba 11, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi na Gridi ya Taifa kwa njia ya Msongo 132 kutoka Tabora.

 

Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani Katavi akiwa na mawaziri wasiopungua nane, anazungumza pia kwenye mkutano wa hadhara..