MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba, leo Oktoba 26,2019 wametua salama uwanja wa ndege KIA. Kikosi hicho kinaelekea Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kesho dhidi ya Singida United Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.