Global TV imefanya mahojiano na mshambuliaji wa timu ya KMC, James Msuva, ambaye pia ni mdogo wa Mshambuliaji wa Timu ya taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) anayekipiga nchini Morocco katika klabu ya Al Jadida, Simon Msuva.