×

BAR YA 5N Yawaka Moto Sinza, Dar – (Picha + Video)

BAR ya 5N na Klabu ya Usiku iliyopo Sinza A inayotazamana na Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo Desemba 8, 2019 mchana imewaka moto huku chanzo kikiwa hakijajulikana.

Kikosi cha uokoaji na kuzima moto kilifika eneo la tukio na kufanikiwa kuzima moto huo na mpaka sasa  madhara na hasara bado hazijajulikana.

PICHA NA RICHARD BUKOS /GPL

Leave a Comment