×

LIVE: Gwaride, Kwata, Ndege za Jeshi Mbele ya JPM – Video

MAADHIMISHO Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanafanyika leo katika viwanja vya CCM Kirumba Jijini Mwanza ambapo mgeni rasmi ni Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

 

Endelea kupokea Matangazo Yetu ya Moja Kwa Moja (LIVE) Kutoka Mwanza ambapo Maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru yanafanyika. Pia Matangazo haya Yanapatikana kupitia App yetu #GooglePlay & #AppStore tafuta “Global TV Online.”

 

Leave a Comment