×

Wanafunzi UDSM Wafanya Maamuzi Magumu, Watoa Saa 72

KUFUATIA wanafunzi wengi kukosa mikopo ya elimu ya juu na kudaiwa kuwepo figisu kwa wale wanaopaswa kupewa mikopo hiyo, Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (Daruso) imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo manne yafuatayo;

 

i. Ipeleke fedha za wanafunzi chuoni

ii. Irudishe fedha za wanafunzi zilizokatwa

iii. Iwapangie mikopo waliokata rufaa

iv. Imbadili Ofisa Mikopo chuoni hapo

 

 

 

 

 

Leave a Comment