×

Tanzania Wanatupwa Nje Chalenji, Yapigwa Bao 1-0

 Timu ya Tanzania wanatupwa nje ya mashindano ya Chalenji baada ya kufungwa bao 1 -0 dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa  KCCA Lugogo. Uganda wanakwenda fainali kucheza na Eritrea ambao wamewafunga kenya mabao 4-1.

Leave a Comment