×

Polisi Warushiana Risasi na Majambazi, Wapora Bunduki ya Kivita – Video

Jeshi la Polisi Arusha lakamata silaha mbili za kivita na risasi 140 katika msitu wa Engusero Sambu wilayani Ngorongoro,moja yadaiwa kukutwa nje ya nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji zinazohisiwa kuwa zilikuwa tayari kutumika kwenye uhalifu.

 

Leave a Comment