×

Kifo cha Mama, KABENDERA Amwaga Machozi MAHAKAMANI

Mwandishi wa habari wa Kujitegemea, Erick Kabendera amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

Kabendera anashitakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi Cha shilingi Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu.

 

Familia ya Erick Kabendera imesema haina uhakika endapo mwandishi huyo wa habari ataruhusiwa kwenda kumzika mama yake.

 

Mwili wa marehemu mama yake, utasafirishwa kesho Januari 3, 2019, kwenda Bukoba kwa ajili ya mazishi, ambapo amesema anaamini mamaye atapewa mazishi ya heshima kama ambavyo angefanya.

 

Leave a Comment