Mfanyabiashara na mwanasiasa Philemon Mollel amejitolea kumsomesha mtoto Baraka ambae ana umri wa miaka miwili mwenye uwezo wa kutaja majina ya Marais wengi wa nchi tofauti tofauti na miradi ya Rais Dkt. John Magufuli.