×

DORAH: Nampenda Sana Harmonize, Anafaa kwa Matumizi – Video

MSANII maarufu wa Bongo Movies, Wanswekula Zacharia Lotti ‘DORAH’ (24), anayetamba katika tamthilia ya KAPUNI inayooneshwa DSTV, amevunja ukimya na kuanika hisia zake kwa mwanamuziki maarufu Bongo Fleva, Harmonize. Unataka kujua alichokisema?

MSIKIE DORAH AKIELEZA

Leave a Comment