
WAZAZI ndio walinzi wa kwanza na wakuu katika kuhakikisha usalama wa watoto wao hii inatokana na ukaribu na mahusiano yaliyopo kati ya watoto na walezi wao ama wazazi.
Hali imekuwa tofauti kwa baba huyu ambaye amemuumiza na kumpatia kovu lisilofutika baada ya kumbaka na kumlawiti binti yake wa kambo.