×

Maajabu! Hana Macho, Anaishi kwa Kuponda Kokoto – Video

Global Jamii inakukutanisha na Mzee Leonard Pascal (59) ambaye ni mlemavu wa macho anayeishi na kujipatia kipato kwa kazi ya kuponda mawe jambo ambalo limekuwa likishangaza watu wengi.

Mzee Leonard amekimbiwa na mke wake kutokana na ulemavu alionao, huku akifanya shughuli zote za nyumbani kama mtu anaeona.

 

Leave a Comment