Penzi la Mose Iyobo na Aunt Ezekiel limefufukia Tanga ambapo wawili hao wamerudiana na kuamua kwenda kijipumzisha katika jiji hilo la mahaba.
Aunty akiwa mwenye bashasha ameonekana kufurahia kuwa penzini tena na Mose huku akiongea kwa kujiamini kuwa Mose Iyobo hawezi kwenda pengine na wanaomfata ni kwa sababu yake kwani Mose hana hela na wala hana mvuto.
