
WASANII wa muziki na Bongo Muvi na wafanyakazi wa Global Group, kusiku wa Februari 7, 2020, wamejumuika kusherehekea mwaka mmoja wa ya redio ya kidijitali ya +255 Global Radio ambapo palikuwa na kila aina ya burudani. Hafla hiyo ilifanyika ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori, Dar.







