×

Malkia Karen Apiga Shoo ya Nguvu Sherehe ya Global Radio

Wafanyakazi wa Global Group wakicheza na msanii wa Bongo Fleva, Malkia Karen, (wa pili kutoka kulia).

WASANII wa muziki na Bongo Muvi  na wafanyakazi wa Global Group, kusiku wa  Februari 7, 2020, wamejumuika kusherehekea mwaka mmoja wa ya redio ya kidijitali ya +255 Global Radio ambapo palikuwa na kila aina ya burudani.  Hafla hiyo ilifanyika ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori, Dar.

 Karen  akiwaimbisha wafanyakazi wa Global Group.
Mtangazaji wa +255 Global Radio, Sterwart George, akiongea.
Karen akiongea.
Msanii wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’ akiongea.
Wasanii waliofika kusherehekea mwaka mmoja wa  +255 Global Radio.
Ni furaha tupu!

Leave a Comment