×

Tishio la Corona: Magufuli, Maalim Seif Wasalimiana kwa Miguu – Video

Rais John  Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na mwanasiasa mkongwe ambaye ni mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, leo Ikulu  Dar es Salaam.

RAIS John  Magufuli leo Machi 3, 2020 amekutana na mwanasiasa mkongwe ambaye ni mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Wakisalimiana bila  kukugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.

Leave a Comment