×

Akiba Comencial Yasherehekea Siku Ya Wanawake

Wafanyakazi na wateja wa benki hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye hafla hiyo.

Benki ya Akiba Comencial leo imesherehekea na wanawake katika kuazimisha kuazimisha kuelekea siku hiyo mbayo kilele chake ni Jumapili ijayo. Katika Hafla hiyo iliyofanyika Tawi la Kijitonyama wateja wanawake katika benki hiyo waliweza kupongezana kwa kukata keki ambapo wengine walijinyakulia zawadi mbalimbali.

Mwenyekiti wa bodi (katikati) akiwa na wateja waliopewa zawadi kusherehekea za kuelekea kilele cha siku wanawake.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano ACB, Dora Saria (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya benki hiyo, Rukia Adamu wakikata keki kwa ajili ya hafla hiyo.

HABARI: NEEMA ADRIAN

PICHA: RICHARD BUKOS GPL

Leave a Comment