×

Shigongo Atoa Siri ya Mafanikio “Nyie Ni Simba” – Video

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo akitoa neno leo Machi 8, 2020 mbele ya wanawake, wakati wa hafla ya kuhadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtana, uliopo katika jengo la Millennium Tower, Kijitonyama, Jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment