×

Rais Magufuli Amuapisha Mwigulu Kuwa Waziri Wa Katiba Na Sheria (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 3, 2020 amuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia tarehe 01 Mei, 2020.

Leave a Comment